Tbl yatangaza Michuano ya soka ya Castle Lager Africa 5s
Dar es Salaam April 24, 2019: Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia Bia yake ya Castle Lager,leo imetangaza rasmi mashindano ya Soka ya Wanaume ya Castle Africa 5 – Aside yatakayofanyika Aprili 27,2019 katika Viwanja vyaPosta…
