Charity Group Watoa Msaada Kwa Wenye Mahitaji Maalum Tabora
Charity Group Tabora wameuanza mwaka kwa kuungana na kituo cha kulelea watu wenye mahitaji maalum cha Sisters of Charity kilochopo Tabora Mjini, ambapo walihusika katika kwa kuwapatia mahitaji mbalimbali ya shule na nyumbani.
Tukio…
