Binti Aliyetekwa na Chibok Mwaka 2014 Arejea na Watoto
MMOJA wa wasichana wa shule nchini Nigeria waliokamatwa na wanamgambo wa Kiislamu Boko Haram kutoka mji wa Chibok mnamo mwaka 2014 ameachiliwa huru na kujiunga tena na familia yake.
Ruth Ngladar Pogu na mwanaume ambaye…
