Habari Chid Benz Adakwa na ‘Unga’ Global Publishers Jan 9, 2018 NGULI WA wa Hip Hop nchini Rashid Makwiro 'Chid Benz anashikiliwa tena na jeshi la polisi mkoani Dodoma kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya na hii inakuwa mara ya tatu kwa msanii huyu kukumbwa na sakata hili.…