Chid Ukirudi Ulikotoka, Tutashangaa sana!
HI...chi...chii Chid Benz! Inakuwa vigumu sana kuacha kuandika kuhusu huyo mkali wa Hip Hop Bongo.
Unamtazama akiwa bado kinda anapovamia jukwaa la vijana wenye majina katika Bongo Fleva, unamuona anavyopenya na kung’ara katikati…
