Mbivu Mbichi Bifu Zito Chuchu vs Tessy
DAR: Lile bifu zito la waigizaji wa Bongo Movies; Chuchu Hans na Tessy Abdul ‘Tessy Chocolate’ bado linafurukuta, IJUMAA lina mbivu na mbichi juu ya sakata hilo.
Chanzo cha habari kimeliambia IJUMAA kuwa, hivi karibuni…
