The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Chuzi Ndo Hilo

Chuzi Ndo Hilo, Hakuna Kuonja!-32

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA: Jome yeye hakusalimia yeyote yule, naye akafuata nyuma ya Maua. Baba Shua akafuatia, wakaingia kwenye gari na kuondoka. *** “Musa,” aliita mama Shua… “Vipi?” SASA SHUKA NAYO SASA… “Ee! Chuzi ndiyo hilo…

Chuzi Ndo Hilo, Hakuna Kuonja!-31

ILIPOISHIA IJUMAA WIKIENDA: “Hapahapa…tena wale pale wamekaa. Hebu ingia na sisi tukakae tuone,” alishauri Jome, baba Shua akaingiza gari kwenye maegesho ya hoteli hiyo na kupaki sanjari na gari la Musa, wakashuka wote. JIACHIE MWENYEWE……

Chuzi Ndo Hilo, Hakuna Kuonja!-26

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA: Alifika nyumbani akiwa amechoka sana kiakili na mwili. Aliwaza namna ya kuwasiliana na mama yake na kumweleza matatizo yake lakini moyo ulisita. Alijua ataamsha hasira za mama huyo.Alimwangalia mtoto wake,…

Chuzi Ndo Hilo, Hakuna Kuonja!-26

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA WIKIENDA: “Mambo?” Musa alisalimia. “Poa tu,” mama Shua alijibu kwa mkato sana huku akichukua tahadhari kwa lolote endapo mumewe angetokea na kuhisi vibaya. Akili haikumpa mama Shua, akaamua kumpigia simu baba…

Chuzi Ndo Hilo, Hakuna Kuonja!-25

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA: Baba Shua alimkuta mama Shua sebuleni akiwa katika hali ya kutojua nini kinaendelea. Aliingia chumbani bila kusalimia, akapanda kitandani kulala maana alishaoga nyumbani kwa Maua na kupakwa mafuta ya losheni na…

Chuzi Ndo Hilo, Hakuna Kuonja!-29

ILIPOISHIA IJUMAA WIKIENDA: Msichana wa kazi aligunia moyoni. Kwake lilikuwa tukio geni sana kumwona bosi wake akiingia chumbani kwake na mwanaume. Hajawahi kuona! Simu ya baba Shua iliita, akaitupia macho na kuona jina la mke wake,…

Chuzi Ndo Hilo -23

ILIPOISHIA IJUMAA WIKIENDA: Amwombeje samahani? Aliamua kumwandikia ujumbe wa simu badala ya kumpigia akiamini kwa kusoma atamwelewa vizuri zaidi kuliko kumwendea hewani. Kwanza anaweza asipokee hata hiyo simu yake. Aliandika: “Baba Shua,…

Chuzi ndo hilo, hakuna kuonja!-22

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA: “Sasa unadhani itakuwaje na mtu kasimama mlangoni!” Pale nje, baba Shua aliwaza kuwagongea mlango wawili hao ili ijulikane moja. JIACHIE SASA… Aliwaza sana, akaamua kwamba amwambie msichana wake wa kazi ni…