JIDENNA, ‘CLASSIC MAN’ ALIYEKODI MAKOMANDO KUMZIKA BABA’KE
“I’M a classic man, you can be mean when you look this clean, I’m a classic man...” (Mimi ni mwanaume wa kiwango cha juu, utakuwa na maana kama ukiwa msafi kama hivi...) hicho ni kibwagizo cha wimbo wa Classic Man,…
