Marekani Imesimama, Clinton Vs Trump Kura Kupigwa Leo
MAREKANI: WAGOMBEA Urais wa Marekani, Bi. Hillary Clinton (Democratic) na Donald Trump (Trump) wamefanya mikutano ya mwisho ya kumalizia kampeni zao na kuwahimiza raia wa Marekani wawapigie kura zikiwa zimesalia saa chache kabla ya uchaguzi…
