Siku 365 Za Rais Samia Zaweka Alama ya Mafanikio Sekta Masoko ya Mitaji
Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameweka alama kubwa ya mafanikio katika maendeleo ya sekta ya masoko ya mitaji katika kipindi cha siku 365 za uongozi wake.
Akielezea…
