Mwanasoka George Weah Aongoza Matokeo ya Urais Liberia
MWANASOKA wa zamani George Opong Weah wa Chama cha Congress for Democratic Change, (CDC) anaongoza, katika matokeo ya awali ya urais katika Uchaguzi Mkuu wa Liberia uliofanyika hivi karibuni.
Takwimu kutoka tume ya uchaguzi (NEC)…
