KIVULE: Mvua Yavunja Daraja Kivule, Daraja la Madumu Latumika (Video)
MVUA zinazoendelea kunyesha nchini zimesababisha kuharibika kwa daraja la miti la Kivule, sehemu za Kitunda jijini Dar es Salaam na kusababisha matatizo makubwa kwa wakazi wa sehemu hiyo.
Global TV Online iliyofika sehemu hiyo,…
