WOLPER KWENYE MAOMBI MAZITO TAMASHA LA DAUGHTERS OF ZION – PICHAZ
MSANII maarufu wa filamu nchini, Jacquiline Wolper ameungana na mastaa wenzake, waumini na wananchi wengine kuhudhuria katika Tamasha la Daughters of Zion, leo Ijumaa, Machi 16, 2019 lililofanyika katika Ukumbi wa Cardinal Rugambwa, St.…
