DC Mjema Apokea Vifaa Kinga Ya Corona Kutoka Cocacola
Katika kuunga mkono juhudi kubwa zinazofanywa na Serikali katika kujikinga na ugonjwa wa hatari wa Corona (COVID -19) Kampuni ya Vinywaji ya Cocacola_kwanza imekabidhi vifaa saidizi vya kujikinga na ugonjwa kwa Mkuu wa…
