Mtoto wa Miaka 12 Auawa, Anyofolewa Sehemu za Siri na Macho
Katika hali isiyokuwa ya kawaida mtoto wa miaka 12, Dorcas Meshak mkazi wa kitongoji cha Mbughantigha kijiji cha Matongo tarafa ya Ikungi, ameuawa na watu wasiojulikana na kunyofolewa baadhi ya viungo vyake.
Akizungumza kuhusu tukio…
