KINGWANGALLA KUFUNGUA ONYESHO LA ‘CHIMBUKO LA BINADAMU’ DAR
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangalla, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa maonyesho ya Chimbuko la Mwanadamu yatakayofanyika katika Makumbusho ya Taifa kesho Januari 23, jijini Dar es Salaam katika Mtaa wa…
