×

Tag: Hakimu Mkazi Kisutu

Hukumu Kesi Ya Aveva, Kaburu Ngoma Nzito..

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeshindwa kutoa hukumu ya kesi inayomkabili Rais wa zamani wa Klabu ya Simba, Evans Aveva...

READ MORE

Wafanyabishara watatu Dar Wadakwa na Dawa za Kulevya

  Wafanyabishara watatu wa jijini Dar es Salaa wamefikishwa katika  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka moja la...

READ MORE

DPP Awafutia Shtaka la Utakatishaji Fedha Wakurugenzi wa Bevco

Mkurugenzi wa mashtaka nchini (DPP) amewafutia shtaka la utakatishaji fedha  wakurugenzi wa kampuni ya kuagiza vinywaji vikali nchini, Bevco Limited...

READ MORE

Wafanyakazi Watatu wa Letshego Wapandishwa Kisutu

Wafanyakazi watatu wa Taasisi ya fedha ya Letshego maarufu kama Faidika Limited, wamefikishwa katika Mahakama Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na...

READ MORE

DPP Awafutia Mashtaka Waliodaiwa Kuwatumikisha Walemavu Kuwa Ombaomba

Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) amewafutia mashtaka na kuwaachia huru washtakiwa 14 waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka 41 yakiwemo ya...

READ MORE

Wakulima 4, Mfanyabiashara Wadakwa na Meno ya Tembo

Mfanyabiashara Caft Kileo na Wakulima Wanne, Godfrey Samuel, Richard Andrea, Moses Paul na Benjamin Richard wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu...

READ MORE

Watatu Kortini Kwa Kudaiwa Kuiba Madini

WATU watatu wakazi wa Jijini Dar es Salaam wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu...

READ MORE

Kesi Ya Wambura Bado Ngoma Nzito

  IMEELEZWA kuwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu haina mamlaka ya kufuta wala kusikiliza kesi ambayo inamkabili aliyekuwa Makamu wa...

READ MORE

Breaking News: Wema Ahukumiwa Jela kwa Madawa ya Kulevya – Video

MREMBO na mwigizaji maarufu wa Bongo Movies, Wema Sepetu amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela au kulipa faini ya Tsh....

READ MORE

WATUHUMIWA SABA WIZI WA KOROSHO MAHAKAMANI

WATUHUMIWA saba raia  wa Zambia, leo Machi 7,  wamepandishwa katika  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na tuhuma za kula...

READ MORE

WCF  YAANZA KUWAFIKISHA MAHAKAMANI WAAJIRI WASIOJISAJILI

  MFUKO wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) umewafikisha mahakamani waajiri wanne kwa kushindwa kujisajili na mfuko huo.   Waajiri hao...

READ MORE

MENEJA WA NYANZA AFUNGWA MIAKA 20

ALIYEKUWA meneja wa Nyanza Commercial Farm, Dilipkumar Pater,  leo amehukumiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Mtoto wa Chacha Wangwe Anusurika Kifungo, Alipa Faini (Video)

MAHAKAMA ya Kisutu imemhukumu Bobo b Chacha Wangwe kwenda jela mwaka mmoja na nusu au kulipa faini ya Sh. Milioni...

READ MORE

VIGOGO WA CHUO CHA FEDHA WAPATA DHAMANA

  VIGOGO wawili wa Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA) wanaokabiliwa na kosa la kuisababishia serikali hasara ya Sh. Bilioni 1,097,681,107,...

READ MORE

VIGOGO CHUO CHA UHASIBU MAHAKAMANI ‘KUISABABISHIA’ HASARA SERIKALI

VIGOGO wawili wa Chuo cha Uhasibu (TIA) jijini Dar es Salaam, leo wamepandishwa kizimbani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu...

READ MORE

YALIYOJIRI KESI YA MALIMA KUDAIWA KUSHAMBULIA POLISI

  KESI ya Naibu Waziri wa Fedha wa zamani, Adam Malima na dereva wake, Ramadhan Mohammed, ya kuzuia Polisi kutekeleza...

READ MORE

Kortini Kwa Kusambaza Uongo Kuhusu Mazungumzo ya Serikali na Acacia

MKAZI wa Chato mkoani Geita, Obadia Frank (41), mapema leo  amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu tuhuma za...

READ MORE

Kesi ya Kitilya, wenzake: Hakimu Awataka Wawe Wavumilivu

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemtaka akiyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) Harry Kitilya na wenzake kuwa na...

READ MORE

‘Mtoto wa Nyani’ Apigwa Kifungo Cha Maisha Jela

Baraka Joshua, maarufu kwa jina la ‘Mtoto wa Nyani’, jana hakuwa na la kujitetea katika kesi ya kulawiti mtoto wa...

READ MORE

Sheria ya Makosa ya Mtandao Yamkamatisha Mhandisi Mzungu (VIDEO)

RAIA wa Afrika Kusini ambaye ni mhandisi, Menelaos Tsampos, leo amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa kosa...

READ MORE

Kitilya, Wenzake Wataka Upelelezi Ukamilike

NA DENIS MTIMA/GPL UPANDE wa utetezi katika kesi inayomkabili Kamishna Mkuu Mstaafu wa TRA, Harry Msamire Kitilya,mshindi wa Mashindano ya...

READ MORE

Kubenea Afutiwa Mashitaka ya Uchochezi Mahakamani Kisutu

  Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (katikati), akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo.  Pembeni mwake ni baadhi ya...

READ MORE