Hawa Afichua Siri Kujichora Tattoo Ya Diamond
WEKA pembeni mapito aliyoyapitia! Hawa Mayoka ‘Hawa Nitarejea’ wa sasa amekuwa mpya! Amerudi enzi zile alizokuwa akisikika na sauti ile ya Nitarejea akiwa na Diamond Platnumz.
Vibao vyake viwili; Kucheka na Shaghala Baghala vimemrudisha…
