ILIPOISHIA Boniface akashtuka, hakutaka kubaki ndani ya ofisi yake, akateremka kwenye ngazi harakaharaka, alipofika chini, akaingia ndani ya gari lake...