ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Kabla sijamaliza kusema, ghafla mlango ulisukumwa bwana… “Haa! Baby tumefumaniwa…Mungu wangu jamani…” nilisema hata kabla sijamwona huyo aliyesukuma...