John Woka ‘chapombe’ aliyetingisha Bongo Fleva
Michael Muhina 'John Woka'.
Ni vigumu kuamini kama kuna wakati msanii huyu aliyewafanya mashabiki kuvunjika mbavu wakisikiliza kazi zake UNAWEZA kupata taabu kidogo kumtafuta na kumfahamu kijana mwenye jina la Michael Muhina, lakini…
