Julio atoa ruksa wachezaji kula bata
Kocha Mkuu wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’.
Martha Mboma, Dar es Salaam
BAADA ya ligi kusimama kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi, Kocha Mkuu wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amefunguka kuwa kwa sasa ni ruksa wachezaji…
