Mwanafunzi Chuo Kikuu KCMC Ashinda Nissan Dualis
Benki ya CRDB imemtangaza Hussein Hamisi Hamadi (23) ambaye ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha KCMC kuwa mshindi wa pili wa gari aina ya Nissan Dualis katika kampeni yake ya Benki ni Simbanking.
Hussein anayesomea shahada ya Fiziolojia…
