×

Tag: KENYA

#GlobalMusic: H_Art The Band x Lady JayDee Waachana Njia Panda Safari Ya Mapenzi Kwenye ‘Rosella’ – (Video)

Kwenye zile zinazotrend wekeend hii kutoka East Africa ni pamoja na hii ya H_Art The Band kutoka Kenya na Malkia...

READ MORE

Uzinduzi wa Camon CX Kutoka Tecno Kutikisa Soko la Simu Afrika

Nairobi, Kenya, March, 2017 – Simu bora  yazinduliwa, TECNO Mobile  imezindua simu yake mpya kabisa itakayotikisa soko la  simu Afrika,...

READ MORE

Madaktari 500 wa Tanzania Wakataliwa Kenya

UMOJA wa Madaktari, Wauguzi na Wataalamu wa Meno nchini Kenya ‘Kenya Medical Practitioners, Pharmacists and Dentists’ Union’ (KMPDU) umepinga vikali...

READ MORE

Rais Magufuli Amelikubali Ombi la Kenya la Kuwapa Madaktari 500 Kuisaidia Huduma za Kitabibu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Afya kutoka...

READ MORE

NEW Music: Itazame ‘Tucheze’ Video Mpya Ya Muimbaji Akothee Kutoka Kenya

Wiki hii kwenye shavu la midundo ninayo mpya kabisa kutoka kwa Akothee. Safari hii anataka wote tuinuke na ‘Tucheze’. Muimbaji...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Vera Sidika Achoshwa Na Maisha Ya Kuishi Peke Yake, Adai Bora Kufanya Haya…

Baada ya kuweka wazi mahusiano yake na tajiri mmoja wa Nigeria aishie Dubai, socialite maarufu East Africa Vera Sidika anaendelea...

READ MORE

PICHA: Wakenya Wanasema Huyu Ni Copy Paste Ya First Lady Mama Margaret Kenyatta

Kwenye zile za watu kufananishwa na mastaa au watu wengine wakubwa na maarufu duniani ongeza na hii ya huyu mama...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Hii Ndio Hobby Kubwa Ya Msanii Akothee Kutoka Kenya… Sio Kuimba

Esther Akoth maarfu kama Akothee anafahamika kama mwanamziki wa kike mwenye hela zaidi Kenya. Ujio wake kwenye muziki umekuja na...

READ MORE

NEW: Nimekutana Na Hii Mpya ‘Mapochopocho’ Kutoka Kwa Size 8 Wa Kenya – (Video).

Unamkumbuka mwimbaji kutoka Kenya Size 8? Mara ya mwisho kumsikia ilikuwa lini? Kwa wale watu wangu ambao ni mashabiki wa...

READ MORE

Al-Shabab Wavamia na Kushambulia Kambi ya Majeshi ya Kenya nchini Somalia

SOMALIA: Kundi la al-Shabab nchini Somalia limesema wapiganaji wake wameshambulia kambi ya wanajeshi wa Kenya wanaohudumu chini ya kikosi cha...

READ MORE

Trump Akubali Kuiuzia Kenya Ndege za Kivita

Marekani imekubali kuiuzia serikali ya Kenya ndege za kivita na vifaa vingine vya kijeshi, kwa kima cha Dola Milioni 418...

READ MORE

Mtendaji Mkuu wa Shirika la Ndege Kenyan Airways Ajiuzulu

KENYA: Mtendaji Mkuu wa Shirika la Ndege Kenyan Airways la nchini Kenya, Mbuvi Ngunze amejiuzulu baada ya kufanya kazi na...

READ MORE

Watu 12 Wauawa Katika Shambulio Mandera, Kenya

Takribani watu 12 wanahofiwa kufariki baada ya watu wenye silaha kushambulia eneo moja la malazi mjini Mandera, kaskazini mashariki mwa Kenya....

READ MORE

Polisi Waua Wanawake 3 Magaidi Kenya

WANAWAKE watano waliovalia mabaibui na walioaminika kuvaa mikanda ya kujilipua wamevamia kituo kimoja cha polisi mjini Mombasa katika shambulio linalodaiwa...

READ MORE

Wakuu wa Baraza la Mitihani Kenya Wafutwa Kazi

 Waziri wa Waziri wa Usalama na Masuala ya Ndani nchini Kenya, Meja Jenerali Joseph Nkaissery. Serikali ya Kenya imetangaza kuwafuta...

READ MORE

Gavana nchini Kenya matatani kwa kumfuata Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli. GAVANA wa Jimbo la Siaya, nchini Kenya, Cornel...

READ MORE