×

Tag: KENYA

Uchaguzi wa Rais Kenya Huenda Ukaahirishwa

UCHAGUZI wa marudio wa urais nchini Kenya huenda ukaahirishwa kutoka tarehe 17 mwezi ujao. Tume ya Uchaguzi na Mipaka, IEBC,...

READ MORE

Odinga Apinga Tarehe Mpya ya Uchaguzi Kenya

KIONGOZI wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga ametangaza kuwa hayuko tayari kushiriki marudio ya uchaguzi mkuu wa urais nchini humo....

READ MORE

Uhuru Kenyatta Ampa Onyo Raila Odinga

  Aliyekuwa Rais mteule wa Kenya, Uhuru Kenyatta amefunguka na kutoa onyo kwa mpinzani wake Raila Odinga kuwa asahu kuhusu...

READ MORE

Bweni la Wasichana Lateketea kwa Moto, Saba Wafariki Dunia!

Bweni la Shule ya Wasichana ya Moi iliyopo Kibera jijini Nairobi, limeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo na kusababisha...

READ MORE

Wasifu wa Jaji Mkuu wa Kenya Aliyefuta Uchaguzi

In obedience to God’s Command and Will, and guided by the Constitution, to serve humanity, and Kenyans in particular, with...

READ MORE

LIVE: KENYATTA AHUTUBIA TAIFA BAADA YA UCHAGUZI KUFUTWA

IKIWA ni saa 5 baada ya Mahakama Kuu nchini Kenya kufuta matokeo ya Uchaguzi wa rais yaliyompa ushindi Uhuru Kenyatta...

READ MORE

LIVE: HOTUBA YA ODINGA BAADA YA UCHAGUZI KUFUTWA

Kiongozi wa Upinzani Kenya Raila Odinga amesema uamuzi wa mahakama wa kufuta matokeo ya uchaguzi wa urais yanaashiria mwanzo wa...

READ MORE

Lissu, Zitto, Bashe Wafunguka Matokeo ya Urais Kenya Kufutwa

KUFUATIA Mahakama Kuu nchini Kenya kuyafuta matokeo ya Urais yaliyompa ushindi Uhuru Kenyatta kutokana na kile kilichobainika kuwa uchaguzi huo...

READ MORE

LIVE: Mahakama Kuu Kenya Yafuta Matokeo ya Urais, Yaamuru Urudiwe

UCHAGUZI KENYA: Mahakama Kuu imefuta matokeo ya uchaguzi wa urais wa nchi hiyo yaliyompa ushindi Uhuru Kenyatta. Imeamuru uchaguzi urudiwe...

READ MORE

Kesi ya Kupinga Ushindi wa Kenyatta Yaanza Kusikilizwa Kenya

  Mahakama Kuu nchini Kenya imeanza kusikiliza kesi ya kupinga ushindi wa Rais wa Kenya,Uhuru Kenyata, iliyotakiwa kuanza kusikilizwa jana....

READ MORE

KENYA: Odinga Auawa, Mwili Wake Watupwa Sokoni

JESHI la Polisi katika Kaunti ya Siaya linaendelea na upelelezi baada ya mwili wa mwalimu wa kike aliyetambulika kwa jina...

READ MORE

Rais Uhuru Kenyatta Aruhusu Maandamano ya Wanaopinga Ushindi Wake

Rais Uhuru Kenyatta huenda akaingia katika vitabu vya kumbukumbu na historia kwa marais wa Afrika kwa kuamua kuruhusu maandamano ya...

READ MORE

Uchaguzi Kenya 2017: Uhuru Kenyatta Atangazwa Mshindi wa Urais

Tume ya taifa ya uchaguzi Kenya imemtangaza Rais Uhuru Kenyatta wa chama cha Jubilee kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais...

READ MORE

Polisi Wakabiliana na Wafuasi wa Odinga Kisumu

Polisi wa kukabiliana na ghasia nchini Kenya wamekabiliana na vijana waliokuwa wanaandamana na kufunga barabara katika mtaa wa Kondele mjini...

READ MORE

Tazama Hapa Live Matokeo ya Uchaguzi Kenya Yakitangazwa

Maafisa wakuu wa serikali pamoja na mabalozi wameanza kuwasili ukumbi wa Bomas ambako kuna kituo cha taifa cha kujumlishia na...

READ MORE

LIVE: Matokeo ya Urais Nchini Kenya

  August 10, 2017 – 06:30am UPDATE: Uhuru – 8,030,150 (54.27%) Raila – 6,634,331 (44.84%) Valid votes: 14,795,377 Reporting Stations:...

READ MORE

Wawili Wafariki Katika Maandamano ya Uchaguzi Kenya

 Watu wawili wameuawa wakati wa vurugu wakikabiliana na maofisa wa polisi katika ngome ya upinzani ya Mathare, Mji Mkuu wa...

READ MORE

Odinga Aanika Mitambo ya Uchaguzi Ilivyodukuliwa, Kura Zikachakachuliwa

Mgombea Urais wa Muungano wa Upinzani (NASA), Raila Odinga amewaambia wanahabari kwamba wamepata habari kwamba mitambo ya Tume ya Uchaguzi...

READ MORE

FUATILIA LIVE Yanayojiri Kwenye Uchaguzi Mkuu wa Kenya

  IKIWA ni Agosti 8, 2017, takribani Wakenya milioni 19 wanatarajia kupiga kura kuwachagua rais, magavana wa kaunti, wabunge, maseneta,...

READ MORE

UCHAGUZI KENYA: ODINGA, KENYATTA WAPIGA KURA

LEO ni siku ya uchaguzi nchini Kenya na Wakenya wengi wamejitokeza kupiga kura. Vituo vya kupigia kura vilifunguliwa saa 11:00...

READ MORE

Kituo cha Kuhesabia Kura cha Upinzani Kenya Chavamiwa

IKIWA ni siku tatu kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika nchini Kenya, Muungano wa Upinzani (NASA) umeishutumu serikali kuwa imevamia moja...

READ MORE

Washukiwa wa Mauaji ya Mkurugenzi TEHAMA Kenya Wakamatwa

Jeshi la Polisi nchini Uganda linawashikiliwa watuhumiwa 3 (Mkenya 1 na Waganda 2) wa mauaji ya Meneja wa TEHAMA wa...

READ MORE

Wapinzani: Serikali Ikubali Wachunguzi wa Nje Mauaji ya Msando

  MUUNGANO wa upinzani nchini Kenya (NASA) umekubali nia ya serikali za Marekani na Uingereza kusaidia kuchunguza mauaji ya ofisa...

READ MORE

Kenyatta: Nipo Tayari Kukabidhi Madaraka Iwapo Nitashindwa

  Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amesema ikiwa atashindwa kwa haki, Uchaguzi Mkuu wa tarehe nane mwezi Agosti, atakubali matokeo...

READ MORE

Kenya: Nyumba ya Makamu wa Rais Yavamiwa

Watu wenye silaha mchana wa Jumamosi wamevamia nyumbani kwa Makamu wa Rais William Ruto eneo la Sugoi, Kaunti ya Uasin...

READ MORE

Global TV Kenya: RowBow, Mtangazaji Mwanaharakati Aliyekimbilia Udiwani

Kampeni za Uchaguzi Mkuu nchini Kenya zinazidi kupamba moto huku zikiwa zimesalia siku chache ili uchaguzi huo ufanyike, ambapo Global...

READ MORE

UCHAGUZI KENYA: RAILA  AMOLO ODINGA AU UHURU KENYATTA?

MIAKA kumi iliyopita, Kenya ilishuhudia vurugu kubwa zilizosababishwa na uchaguzi. Ni vurugu hizo, pengine ndizo zilipelekea Wakenya watengeneze misingi imara...

READ MORE

Mwanaume Ajinyonga Kisa Wivu wa Mapenzi

MCHIMBA migodi mmoja huko Migori, Kenya, amejinyonga baada ya mkewe kudai kwamba alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamke mwingine....

READ MORE

JPM Mgeni Rasmi Mkutano wa 33 wa Kitaifa wa ALAT

  JUMUIYA ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) inatarajiwa kufanya mkutano wake wa 33 kitaifa katika Jiji la Mbeya Agosti...

READ MORE

Tume Kenya Yaonya Kuhusu Whatsapp, Wananchi Wapinga

  MKUU wa Tume ya Mshikamano na Uadilifu nchini Kenya (NCIC), Francis Ole Kaparo, ametoa onyo kwamba watu wanayaotumia makundi...

READ MORE

LIVE: Rais Kenyatta Azindua Treni Ya Kisasa Mombasa

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, leo amezindua treni ya kwanza ya kusafirisha mizigo na abiria katika reli mpya ya kisasa...

READ MORE

Kenya: Upinzani Watishia Kususia Uchaguzi Mkuu

  KENYA: Mzozo mpya umeibuka kati ya tume huru ya uchaguzi nchini Kenya, na vinara wa mrengo wa upinzani wa...

READ MORE

Ajali ya Basi na Lori la Mizigo Yaua Watu 19, Nakuru

NAKURU, KENYA: Watu 19 wamepoteza maisha na wengine kadhaa wamejeruhiwa baada ya basi kugongana uso kwa uso na lori nchini...

READ MORE

Kenya Imepiga Marufuku Gesi ya Kupikia ya Tanzania Kuingizwa Nchini Humo

Wizara ya Nishati ya Kenya imepiga marufuku gesi ya kupikia kutoka Tanzania kuingia nchini humo. Tamko la Katibu Mkuu wa...

READ MORE

Watu 27 Wafariki Katika Ajali Mombasa, Kenya

  PICHA NA KTN NEWS

READ MORE

Matumizi ya Bangi Kuidhinishwa Kenya

ZAIDI ya Wakenya 1,400 wanaunga mkono ombi la kutaka kuidhinishwa kwa matumizi ya mmea wa bangi baada anayewasilisha hoja hiyo...

READ MORE

#GlobalCelebrityUpdates: Akothee Afanya Matanuzi Zurich Na Gari Jipya Aina Ya ‘Porsche Cayenne’ – (Pichaz).

Kwenye Celebrity Updates za leo April 07 2017 ninayo hii ya Madam Boss wa 254 Akothee kutokea pande za Zurich....

READ MORE

Kaka Sungura Afunguka Kutoka na Avril

Na Mwandishi Wetu/GPL MKALI wa michano kutoka Kenya, Kelvin Ombima ‘Kaka Sungura’ amefungukia juu ya tetesi za kutoka na mwanamuziki...

READ MORE

VIDEO: Tazama Askari Anavyowaua Watuhumiwa wa Uhalifu kwa Risasi Hadharani

KENYA: Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini Kenya, IGP Boinnet ameagiza uchunguzi dhidi ya mtu anayedaiwa ni Askari anayeonekana kwenye...

READ MORE