Mahakama Kenya Yatupilia Mbali Agizo la Serikali Kusitisha Maadamano
Wananchi Kenya wako huru kukusanyika na kufanya maandamano baada ya Mahakama Kuu nchini humo kupinga uamuzi wa Kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi, Douglas Kanja wa kupiga marufuku maandamano ya umma yaliyopangwa na vijana jijini Nairobi.…
