Polisi Anaswa Kujiunganishia Umeme, Akutwa na Viroba…
MKUU wa Wilaya ya Arusha, Kenani Kihongosi, amemkamata polisi ambaye alikuwa akiiba umeme wa TANESCO ambao alijiunganishia kinyume na sheria na kuweka swichi chooni ambayo ndiyo ilikuwa inatumika kuiba umeme huo na kukwepa kulipa bili…
