Kocha Azam amshangaa Samatta
Kocha Mkuu wa Azam FC, Stewart Hall.
Sweetbert Lukonge, Zanzibar
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Stewart Hall, amemshangaa mshambuliaji wa TP Mazembe ya DR Congo, Mtanzania, Mbwana Samatta, kwa uamuzi wake wa kwenda kucheza soka la kulipwa…
