Kortini kwa madai ya kubaka kikongwe…
Na Nathaniel Limu, AMANI
SINGIDA: Ukatili! Kijana
mmoja mwenye umri wa
miaka 32 amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Singida
Mjini kwa madai ya kumbaka mara tatu kikongwe mwenye umri wa miaka 84, mkazi wa Kijiji cha Chungu…
