ZARI KUHAMA KIBABE MJENGO WA MONDI
DAR ES SALAAM: MWENYE pesa si mwenzako! Hayo ni maneno ya Wimbo wa Mtu Pesa wa Bendi ya The African Stars ‘Twanga Pepeta’ ambayo yanaakisi jeuri ya fedha iliyooneshwa na mwanamama Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ huko Afrika Kusini…
