×

Tag: kuua

Wahukumiwa Kunyongwa Hadi Kufa kwa Kumuua Dereva Bodaboda

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Iringa imewahukumu Fred Nyagawa, Isaya Mgimba na James Mteleke kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na...

READ MORE

Anayedaiwa Kuua Watoto 10 kwa Kuwafyonza Damu Akamatwa

Polisi nchini Kenya wanamshikilia Masten Wanjala (20) anayedaiwa kuua watoto kwa nyakati tofauti aliokuwa akiwakuta wakicheza na kuwahadaa kisha kuwaua...

READ MORE

Kijana Atishia Kumuuwa Mama Yake Mzazi

Mama mwenye umri wa miaka 54, Mariam Josia, mkazi wa Kitongoji cha Kiabakari kijiji cha Nyambuli wilayai Serengeti mkoani Mara,...

READ MORE

Aliyemuua Kaka Yake na Kujinyonga… Bibi Asimulia – Video

KIJANA Mmoja mwenye umri wa miaka 24, William Ally, mkazi wa Jijini Dar, anadaiwa kumuua ndugu yake, Mudy Hamis, kwa...

READ MORE

Amuua Mama Yake, Aukaanga Ubongo Kisa Pesa ya Pombe! – Video

Kijana mmoja raia wa INDIA anadaiwa kumuua mama yake kikatili kwa kumpiga na shoka kichwani na kisha kuchukua ubongo wake...

READ MORE

Mbeya: Mtekaji Aliynyonga Mtoto na Kumtupa Kwenye Mahindi Akamatwa

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mtu mmoja [Jina linahifadhiwa] kwa tuhuma za mauaji ya mtoto aitwaye JUNIOR BAKARI...

READ MORE

Amuua Kaka Yake kwa Sangoma Kisha Kujinyonga

WATU wawili wamefariki dunia Mkoani Morogoro baada ya mtu aliyedaiwa kuwa na ugonjwa wa akili kumuua ndugu yake na kisha...

READ MORE

Breaking: Mmiliki Mabasi ya Zacharia Asomewa Mashtaka ya Kujaribu Kuua

MARA: Mfanyabiashara maarufu mjini Tarime mkoani Mara ambaye pia ni mmiliki ya mabasi ya Zakaria, Peter Zakaria amefikishwa mahamani leo...

READ MORE

AKATA NYETI ZA MWANAYE KWA SHOKA KUONDOA MAPEPO

MTU mmoja huko mwenye umri wa miaka 39 huko Chhattisgarh, India, amemtoa kafara mwanaye mdogo katika kitendo cha ushirikiana kwa...

READ MORE