Logarusic apiga simu kuomba kazi Simba SC
Nicodemus Jonas, Dar es Salaam
KOCHA mwenye mbwembwe nyingi, Zdravko Logarusic, kwa sasa yupo nyumbani kwao Croatia baada ya kuzinguana na Wakenya wa FC Leopards, sasa anasema anasaka timu popote pale hata iwe timu yake ya Simba…
