×

Tag: makaburi ya Wasio na hatia

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 54

ILIPOISHIA: Ni kweli nilikuwa na marafiki wengi wanaonipenda kule nyumbani Chunya lakini sikuwa tayari hata kidogo kuona mtu yeyote asiye...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 52

ILIPOISHIA: Lakini ni hapo pia nilipokumbuka ile ajali nyingine ya bodaboda niliyoisababisha na pia nikakumbuka kisanga cha dereva wa Bajaj...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 51

ILIPOISHIA: “Sikuwahi kudhani kwamba unaweza kuwa na nguvu kubwa kiasi hicho, hongera sana, utanifaa sana wewe,” alisema huku akipitisha mkono...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 50

ILIPOISHIA: Sijisifii lakini ukweli ni kwamba katika suala la mbio, nilikuwa na uwezo mkubwa sana, dakika chache baadaye nikawa nimeshatokomea...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 49

ILIPOISHIA: Nilipofika, na mimi nilijifanya ni mwombolezaji wa kawaida tu, nikawasalimia baadhi ya watu kisha nikajichanganya na waombolezaji wengine. Ghafla...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 46

ILIPOISHIA: Tangu nizaliwe, sikuwahi kuchinja hata kuku tu, achilia mbali ndege tuliokuwa tukiwawinda kule kijijini kwetu lakini sasa eti nilikuwa...

READ MORE

Gari la Aina Yake la Kubebea Maiti Latua Nchini!

Gari la kubebea maiti lenye muonekano wa kipekee limetua nchini Tanzania na kuwa kivutio kwa waombolezaji kila linapopita barabarani au...

READ MORE

The Graves of The Innocent (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 24

ILIPOISHIA: Ghafla tulishtushwa na kishindo kikubwa ambacho hata sikuelewa kimetokea wapi. Watu walianza kupiga kelele kwa nguvu huku wale waliokuwa...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 17

ILIPOISHIA: “UNASEMA?” Mama yake Rahma aliuliza kwa mshtuko, huku  akiacha kila kitu alichokuwa akifanya. Haraka akakimbilia chumbani kwa mwanaye huku...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 12

ILIPOISHIA: Alikuwa ni msichana mzuri sana, upande wa nyuma alikuwa amejazia huku kiuno chake kikiwa kimegawanyika, kama nyigu ambao kule...

READ MORE

Graves of The Innocents (Makaburi Yasiyo na Hatia)- 6

ILIPOISHIA: Huku nikitetemeka, nilisogea mpaka pale yule mganga alipokuwa amelala, akiendelea kukoroma kwa nguvu, mimi nikamshika miguuni na baba akamshika...

READ MORE

Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 5

ILIPOISHIA: MWANAUME mzee mwenye macho mekundu sana na midomo myeusi, akiwa amejifunga shuka refu lenye rangi nyekundu na nyeusi, kichwani...

READ MORE

Makaburi ya Wasio na Hatia (Graves Of The Innocents)- 2

    ILIPOISHIA: Tulipokaribia nyumbani kwa mzee huyo, baba alinionesha ishara kwamba nisimame, nikafanya hivyo, tukawa tunasikia sauti za watu...

READ MORE