Faida ya zawadi mwenza kwa wapendanao!
WIKI ILIYOPITA tuliuliza swali, kama umeingia kwenye ndoa na mkeo akapata ujauzito. Mlipoenda kupima afya, mnabainika wote mmeathirika, ingekuwa ndio wewe ungefanya nini? Tuyaangalie baadhi ya majibu ya wasomaji: Ukishagundua shida…
