×

Tag: Makonda

Keagan wa Makonda Atimiza Mwaka, Sikia Maneno ya Baba Yake!

HAPPY BIRTHDAY MY LOVELY FRIEND OF MINE Ninapokumbuka siku kama ya leo Kwa mwaka uliopita nayaona machozi Mengi ya furaha...

READ MORE

Maandalizi ya SADC: Makonda Atangaza Dau kwa Waendesha Mitandao

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo Julai 11 ametangaza Shindano litakakalohusisha Watu wote wanaoendesha Platform za...

READ MORE

RC Makonda Amuomba Radhi JPM – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, RC Paul Makonda amemuomba radhi Radhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

READ MORE

MAKONDA AZIDI KUUNGWA MKONO KAMPENI UPASUAJI MOYO WATOTO

Kampeni ya Matibabu ya upasuaji wa moyo kwa watoto 60 kutoka familia zenye maisha duni iliyoanzishwa na Mkuu wa Mkoa...

READ MORE

Makonda Awasili Misri Ataka Ushindi Kwa Taifa Stars – VIDEO

  Mwenyekiti wa Kamati ya Ushindi ya Stars na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewasili jijini...

READ MORE

RAIS MAGUFULI AZINDUA GHALA NA MITAMBO YA GESI KIGAMBONI, VIJIBWENI, DAR – Video

       RAIS John Magufuli amemruhusu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kwenda nchini Misri...

READ MORE

NDUGAI: “Huyu Kijana Hajitambui, HAJIELEWI, Anamdanganya RAIS Hadharani” – Video

Spika wa Bunge, Job Ndugai, amemjibu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kufuatia kauli aliyoitoa leo mbele...

READ MORE

Makonda: Nilibezwa Niliposema Nawapa Yanga Kiwanja – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema alibezwa na baadhi ya watu alipotangaza kuipa Yanga eneo.  ...

READ MORE

MAKONDA Atinga Vazi Maalum la Kuishangilia STARS – Video

MKUU  wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewataka Watanzania kwa kushirikiana na wadau wa michezo na serikali ya...

READ MORE

KUBWA KULIKO: MAKONDA Agawa Kiwanja Kwa YANGA – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kwenye tamasha maalumu la kuichangia klabu ya Yanga ambalo limefanyika ukumbi...

READ MORE

RC Makonda: Wabunge Dar Wahesabu Maumivu 2020 – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema wabunge wa Mkoa wa Dar es Salaam wasiofanya ziara na...

READ MORE

Makonda Noma! Awakabidhi Walimu Ofisi za Kimataifa – Video

HATIMAYE kilio cha muda mrefu cha walimu wa shule ya msingi Vijibweni Wilaya ya Kigamboni kufanya kazi chini ya miti,...

READ MORE

Naibu Waziri Ndumbaro Kuhusu Ushoga: “Sio Makonda tu, Hata Trump” – Video

NAIBU Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt Damas Ndumbaro amesema kuwa baadhi  ya Watazania wamekuwa...

READ MORE

MAKONDA AKIWAKABIDHI MAMILIONI WACHEZAJI WA SIMBA – VIDEO

MKUU wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda ametekeleza ahadi ya kutoa zawadi kwa wachezaji ambao walishinda Tuzo za Mo Simba...

READ MORE

Makonda Amwaga Mamilioni Simba, Manula Alamba Mil 10 – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewaahidi wachezaji wa Klabu ya Simba waliojishindia Tuzo za Mo Simba...

READ MORE

Makonda Atangaza Vita na Wasio na Vitambulisho Dar

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema kuanzia June 3, mwaka 2019 ni marufuku kwa wafanyabiashara wadogo...

READ MORE

MAKONDA: “KWA HILI SIOMBI MSAMAHA”, ATAJA CHEO ANACHOKIPENDA – VIDEO

MKUU wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda,  amesema hakuna jambo ambalo halipendi kama kusikia Mkristo akilalamika kwamba hakuna ajira, maisha...

READ MORE

FULL MAUNO! Shuhudia Makonda, Shigongo, Gondwe, Masanja Wakichuana – Video

NI furaha iliyoje ndani ya Yesu? Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewaongoza viongozi wenzake na watu...

READ MORE

Maneno Mazito ya Shigongo, DC Gondwe na Sasali Campus Night – Video

KONGAMANO la Victory Campus Night 2019 limefanyika usiku wa leo Mei 17, 2019 katika viwanja vya Tanganyika Packers jijini Dar...

READ MORE

Makonda Asimulia Alivyofukuzwa Nyumba ya Kupanga – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amefunguka namna alivyofukuzwa kwenye nyumba ya kupanga, kisa hana pesa ya...

READ MORE

Kongamano la Victory Campus Night 2019 Latikisa Dar! – Video

HATIMAYE lile kongamano la kimataifa linalowakutanisha wanafunzi wa vyuo mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi, Victory Campus Night la...

READ MORE

Makonda Ashuhudia Mafuriko, Bil 200 Zapelekwa Mto Msimbazi

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda jana amefanya ziara ya ukaguzi wa athari za mafuriko ambapo amesema...

READ MORE

MWILI WA RCO ILALA WAZIKWA ARUSHA

MWILI wa aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Kipolisi Ilala jijini Dar es Salaam, SSP Anael Mbise (48) umezikwa...

READ MORE

Polisi na Askari Magereza Wapigana Makonde, Mabomu na Risasi Zarindima

Polisi na Askari wa Jeshi la Magereza wilayani Masasi Mkoani Mtwara, wamepigana makonde hadharani katika eneo la stendi kuu ya...

READ MORE

MAKONDA AWAOMBA MSAMAHA WACHAGGA, ASKOFU AMPATANISHA NA MBOWE – VIDEO

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Bashiru,  amemwombea msamaha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,...

READ MORE

RC Makonda Awashtukia Wapigaji Dar, Awakabidhi Takukuru – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  leo April 30,2019, amewashtukia baadhi ya wataalam wa masuala ya ujenzi...

READ MORE

Mkandarasi Barabara ya Biafla Atakiwa Kuripoti Polisi – Video

  Mkandarasi alijenga barabara ya kiwango ya lami Biafla Kinondoni jijini Dar es Salaam ametakiwa kuripoti Polisi, siku ya Ijumaa kwa...

READ MORE

MAKONDA ALIVYOWATUNUKU MAGARI MAAFANDE – VIDEO

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amewatunuku zawadi mbalimbali yakiwemo magari  maofisa wa Jeshi la Polisi Kanda...

READ MORE

LIVE: MAKONDA, KUSAGA, SHIGONGO Katika Kilele cha MALKIA wa Nguvu

NI hafla ya kilele cha Tuzo za Malkia wa Nguvu ambazo zinaendelea katika Ukumbi wa Julius Nyerere, wanawake mbalimbali watapokea...

READ MORE

MAKONDA Ampa Sh 1m, Aliyetoka Manyara Hadi Dar kwa Baiskeli – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemkabidhi pesa taslim kiasi cha shilingi Milioni moja kijana Ikuzi Kicheko...

READ MORE

JPM Awapa Viwanja Taifa Stars, Awataka Wajitume Zaidi – Video

RAIS . John Magufuli amewazawadia viwanja vya kujenga nyumba jijini Dodoma wachezaji wa timu ya soka ya taifa, Taifa Stars,...

READ MORE

RC MAKONDA Ampa Siku 3 DC Ilala, La Sivyo…! – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoa siku tatu tu kwa Mkuu wa wilaya ya Ilala, Sophia...

READ MORE

MAKONDA AHIMIZA USHINDI STARS, AAHIDI BONGE LA PATI – VIDEO

MWENYEKITI wa Kamati ya Uhamasishaji kuelekea mchezo wa ya Taifa Stars kufuzu michuano ya AFCON dhidi ya timu ya taifa...

READ MORE

MAKONDA KUSOMESHA WANAFUNZI WA KIKE 100 – VIDEO

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, ametoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wa kike 100 ambao wamehitimu...

READ MORE

MAKONDA AMPELEKA INDIA KUTIBIWA, MSANII PASCAL CASSIAN – VIDEO

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda ametimiza ahadi ya kusaidia gharama za matibabu ya mshindi wa...

READ MORE

Makonda Akimuaga Ruge: “Niliomba Familia Iniondoe Kwenye Ratiba – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amesema kwamba kutokana na uchungu alioupata wa kuondokewa na ‘kaka’ yake...

READ MORE

JK; “Nimelemewa”, JPM; “Nitakukumbuka”, Makonda; “Hautosahaulika”

Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete ameeleza maumivu aliyonayo kufuatia kifo cha Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media...

READ MORE