Siku ya Malaria Duniani Imewakutanisha Meridianbet na Hospitali Ya Rufaa ya Mkoa Amana
Katika kuadhimisha siku ya Malaria Duniani kwa mwaka 2022, kampuni ya michezo ya kubashiri, Meridianbet, imeungana na watanzania na dunia kwa ujumla katika kuongeza nguvu kwenye mapambano makali dhidi ya ugonjwa wa Malaria. Ugonjwa wa…
