×

Tag: mambosasa

POLISI WAUA MTUHUMIWA WA UJAMBAZI DAR – VIDEO

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemuua kwa risasi mtu mmoja anayedaiwa kuwa jambazi maeneo ya Buza...

READ MORE

BREAKING NEWS: Trafiki Agongwa Gari Mataa ya Sayansi Dar

OFISA wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani ambaye jina lake halijatajwa amepata ajali ya kugongwa na gari wakati akiongoza magari...

READ MORE

JK Atoa Kauli kwa Jeshi la Polisi

RAIS Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ‘JK’ amefunguka na kulipongeza jeshi la polisi Tanzania kwa kufanikisha...

READ MORE

Babu Mbaroni kwa Kugushi Vyeti, Akutwa na Mihuri 54 ya Magumashi – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limamshikilia Selemani Masoud (60) mkazi wa Yombo Kialakala kwa tuhuma za...

READ MORE

POLISI AMUUA POLISI MWENZAKE KWA RISASI

  Kifo cha askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) Konstebo Kulwa Gilbert, aliyepigwa risasi kwa bahati mbaya na mwenzake, ...

READ MORE

Mambosasa: Abdul Nondo Alikwenda Iringa kwa Mpenzi Wake – Video

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limetoa kauli kuhusu Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul...

READ MORE

‘Freemasonry Mnyonya Damu’ na Tapeli Akamatwa na Polisi Dar

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia, Rajabu Mohamed(25) anayejifanya ni Freemason na amekuwa akifanya ukatili,unyanyasaji wa...

READ MORE

Polisi Yakiri Kumpiga Risasi Raia Kwenye Maandamano ya Chadema

  Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amekiri kuwa mtu mmoja alipigwa risasi na polisi...

READ MORE

Mambosasa Amkamata Mlemavu Anayedaiwa Kuwa Kinara wa Madawa

  JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limemkamata kijana mmoja ambaye ni mlemavu wa miguu anayedaiwa kuwa...

READ MORE

Mambosasa Azungumzia Wanaodaiwa Mabaunsa wa Kuchafua Uchaguzi

  KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amefunguka kuwa amepata tetesi kuwa kuna mabaunsa wanaodaiwa...

READ MORE

Polisi Yafafanua Kamata Kamata ya ‘Vimini’ Dar

JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limeeleza kuwa suala la kamata kamata ya watu waliovaa mavazi ambayo...

READ MORE

Mambosasa Akanusha Kwasaka Wavaa Vimini na Wenye Viduku

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema habari iliyochapishwa na Gazeti la Nipashe kwamba leo Januari 17,...

READ MORE

Mambosasa: Baadhi ya Wafungwa Walioachiwa na JPM Wanafukua Silaha Zao

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limedai kuwa linazo taarifa kwamba baadhi ya wahalifu walioachiwa kwa msamaha...

READ MORE

Breaking News: Polisi Dar Yakamata Silaha Nzito – Video

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limekamata silaha mbalimbali zikiwemo bunduki kubwa, bastola na vifaa vingine vya...

READ MORE

Matukio Mwaka 2017, Polisi Dar Yakamata bunduki 27, Risasi 1,147 – (Video)

  JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kupitia kwa Kamanda wake, Lazaro Mambosasa, leo Desemba 29, 2017...

READ MORE

Mabinti Wanaswa Wizi wa Pikipiki, Sare za Jeshi

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watu watatu, wakiwemo mabinti wawili wa miaka 19,  kwa tuhuma...

READ MORE

Polisi Wauwa Majambazi Watatu Na Wakamata Silaha Aina Ya Ak.47 Na Risasi 57

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dsm mnamo tarehe 28/11/2017 na tarehe 30/11/2017 askari walifanya oparesheni maalum ambayo ilifanikisha kukamatwa kwa...

READ MORE

Mambosasa: Polisi Haina Taarifa ya Kukamatwa kwa Aliyesambaza Picha za Nyufa UDSM

JESHI la Polisi Kanda ya Dar es Salaam, limesema halina taarifa za kukamatwa kwa mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa...

READ MORE

RPC Mambosasa: Waliokufa kwa Mafuriko Dar Wamefikia Watatu – Video

KAMANDA wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema watu watatu wamekufa kufuatia mvua kubwa zilizonyesha jana...

READ MORE

Polisi Waua Majambazi Wawili Dar, Wakamata Mabomu ya Kijeshi!

KAMANDA Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, ametoa ripoti ya matukio ya kihalifu yanayoendelea hapa nchini ambapo...

READ MORE

POLISI WAUA WATUHUMIWA WALIOMJERUHI MEJA JENERALI MSTAAFU

KUUWAWA KWA MAJAMBAZI WAWILI NA KUPATIKANA KWA SILAHA AINA YA SMG RISASI KUMI NA TISA NA MAGANDA MAWILI Jeshi la...

READ MORE

Mambosasa Asema Miili Iliyokutwa Kwenye Viroba Hajui Ilikotoka

KAMANDA wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema miili ya wanaume watatu iliyokutwa pembezoni mwa Bahari ya...

READ MORE

‘Faru John’ Ajisalimisha kwa Kamanda Mambosasa

ASKARI wa Jeshi la Polisi Dar, anayejiita Faru John ameripoti Kituo Kikuu cha Polisi cha Kanda Maalumu ya Dar es...

READ MORE

Polisi Dar: Hatukukamata Waliovaa Fulana za Tundu Lissu

KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum jijini Dar es Salaam Lazaro Mambosasa, amesema watu waliokamatwa na polisi hapo jana kwa kufanya...

READ MORE

Breaking News: Jambazi Aliyeongoza Mauaji ya Polisi 8 Kibiti Auawa -Dar

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, jana Septemba 12, maeneo ya Kivule Chanika lilifanikiwa kumuua jambazi sugu...

READ MORE

DAR: Polisi Wamwachia Hashim Rungwe

POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imemwachia kwa dhamana mgombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, Hashim Rungwe,...

READ MORE

Kauli ya Kwanza ya Mrithi wa Sirro, Kanda Maalum Dar -(VIDEO)

Mrithi wa Simon Sirro, Lazaro Benedict Mambosasa, ambaye ni kamishina mwandamizi msaidizi wa jeshi la polisi, leo amezungumza kwa mara...

READ MORE