Manji: Nilitaka Kumuajiri Hans Poppe Yanga
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji, amemtaja marehemu Zacharia Hans Poppe kuwa ndiye mtu aliyekuwa akimsumbua zaidi enzi zake akiongoza Jangwani.
Manji ameliambia Championi Jumatatu kuwa Hans Poppe ambaye alifariki…
