NI matumaini yangu muwazima na mko na hamu kubwa ya kujua kile ambacho nimewaandalia kwa siku ya leo. Kama kawaida...
READ MOREYAANI shoga yangu leo nimekaa zaidi ya nusu saa natafakari meseji moja tu! Shoga hata kama wanawake tumeumbiwa mateso si...
READ MORETUANZE kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia siku hii njema. Kama kawaida hapa huwa tunazungumza mapenzi na maisha kwa jumla....
READ MOREUSALITI ni jambo baya katika uhusiano. Usaliti si ujanja japo wengi wanaowaza kusaliti huwa wanajiona wajanja. Wanajiona wamewini pale ambapo...
READ MOREWIKI iliyopita nilianza kuichambua mada hii kama inavyosomeka hapo juu. Narudia tena kusisitiza, kumwambia I Love You nyingi mpenzi wako...
READ MOREHAYA tena shosti wangu ndo naingia tena mjini, najua umenisubiri sana baada ya wiki jana kuwachamba wale wavivu, wakilala hawaamki...
READ MORENI matumaini yangu kwamba umzima na unaendelea vyema na mishemishe zako za kila siku kama kawaida. Kwa wale waislam wenzangu...
READ MORETUPO kwenye Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Tunamshukuru Mungu kwa kuendelea kuwa pamoja nasi na kututia nguvu kwa yale...
READ MOREDUNIA ya sasa imejaa sarakasi nyingi za mapenzi. Kila mmoja analia na maumivu yake, hakuna aliye salama, maana siku hizi...
READ MOREKUOLEWA ni heshima kwa mwanamke. Heshima hiyo inaenda mbali zaidi hadi kuwagusa wazazi wa binti ambaye ataolewa. Wazazi wanatembea...
READ MOREMAPE-NZI hew-ni! Ndivyo unaweza kusema kufuatia kile alicho-kionesha rapa mkali kutoka Marekani, 2 Chainz hivi karibuni kwenye Ukumbi wa Met...
READ MOREMATATIZO haya ya nguvu za kiume humuathiri mwanaume na mwanamke kwa ujumla.Tatizo hili hulalamikiwa aidha na mwanaume mwenyewe au mwanamke...
READ MOREAWALI ya yote napenda kuwatahadharisha wanaume wanapenda sana kuwaona wake zao wakikaa nyumbani tu bila kujishughulisha na kusema, eti wao...
READ MORESAHAU kuhusu ule ujauzito wake feki ‘ulio-trendi’ juzikati, muuza nyago kwenye video nchini Kenya, Vera Sidika amechafua mitandao baada ya...
READ MORERAPA Tyga anaonekana kuanza kufurahia maisha mapya baada ya kumuopoa rapa mwenzake, Iggy Azalea ambapo mahaba yao kwa sasa unaambiwa...
READ MOREINAFAHAMIKA dunia nzima kwamba wanawake ndiyo wanaobeba ujauzito, lakini je, umewahi kudhani kwamba inawezekana kwa mwanaume kubeba ujauzito kwa miezi...
READ MOREAnna Patrick Kimario wengi hawalijui jina hilo na mara nyingi huwa najiuliza sijui kwa nini huwa hapendi uhalisia wa jina...
READ MOREDAR ES SALAAM: Kimenuka! Siku chache baada ya muuza nyago kwenye video za Kibongo, Tunda Sebastian kuonekana kimahaba akiwa...
READ MOREMWANAMITINDO wa Bongo, Agness Mmassy ameibuka na kueleza jinsi anavyodatishwa na mwimbaji wa Injili, Emmanuel Mbasha na ndiyo maana amekuwa...
READ MOREMWANADADA anayekimbiza kwenye muziki wa Bongo Fleva, Linah Sanga amefunguka na kutaja idadi ya wanaume ambao ametembea nao na...
READ MOREASSALAM aleikum mpenzi msomaji wangu, umzima? Unaendeleaje na mishughuliko yako? Mimi mzima, namshukuru Mungu kwa kunijaalia kuwa miongoni mwa wale...
READ MORETazama filamu fupi ya kusisimua, Utanikumbuka hapahapa Global TV Online. Pia unaweza kuitazama kupitia Global Publishers App Kama huja-install nimekuwekea...
READ MOREWENGI wamejikuta kwenye majuto kwa kuwakabidhi watu wasiofaa mioyo yao. Wameambulia mateso makali, wamejikuta wamepoteza muda kwani wameachwa solemba wakati...
READ MORESTAA wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja amefunguka kuwa hivi sasa anaumizwa na mapenzi ya kufichaficha kwa sababu ya kulinda...
READ MOREKILA kunapokucha ni vyema ukamshukuru Mungu kwa maana bila yeye, mimi na wewe tusingeweza kukutana katika safu yetu hii nzuri...
READ MOREHALOOOO ehhhh tena ya kisoda kama siyo bia, nitue Tanga kama siyo Muheza mwanakwetu wee wa Kibororoni utanieleza nini kama...
READ MOREMAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mwanza imewaachia kwa dhamana wadada wawili waliokamatwa kwa tuhuma zinazoashiria kujihusisha na vitendo vya mapenzi ya...
READ MOREKUTOKANA na ubize wa maisha, wanaume wengi sana wamekuwa wakishindwa kutimiza majukumu yao. Mwanaume anashindwa kufanya mambo yanayompasa kufanya kwa...
READ MORELICHA ya kwamba makubaliano ya ndoa hufikiwa na watu wawili, mwanaume na mwanamke lakini ni ukweli usiopingika kuwa mwanaume ana...
READ MOREMama afunguka kunyang’anywa mme na mwanaye wa kumzaa. Duh kweli duniani kuna mambo, huwezi kuamini kama mtoto anaweza kumsaliti mama...
READ MOREWIKI hii nataka kuzungumzia suala zima la kusaka mafanikio huku nikikuuliza wewe msomaji wangu kwamba, umeamua kufanikiwa katika maisha yako...
READ MORENIANZE kwa kumshukuru Mungu kwa pumzi ambayo ameniwezesha kuendelea kuitumia bila malipo yoyote. Pole msomaji wangu wa XXLove ambaye unasumbuliwa...
READ MOREUKITAJA waigizaji wanaojua nini wanapaswa kufanya mbele ya kamera na kuzitendea haki nafasi anazopewa kuigiza, basi huwezi kumuweka kando mwanadada...
READ MORERAPA wa kike anayefanya vizuri kwenye Hip Hop Bongo, Claudia Lubao ‘Chemical’, amefunguka kuwa, msanii Stereo ambaye amekuwa akijanasibu kwenye...
READ MORENAJUA kabla sijaanza na salamu utaanza kujiuliza MC Sophia leo kulikoni tuache kubana! Mara ohhh kubana tuziachie nguo na nywele,...
READ MOREHEEEE heeeeiyyaaaaa shoga yangu wa ukweee upo? U hali gani Jumanne ya leo! Kama nakuona vile ulivyotoa mijicho kama mwari...
READ MORENI matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko poa, nakukaribisha tena jamvini, leo tukiwa tunaendelea na mada tuliyoianza wiki iliyopita...
READ MORESITAKI uniulize ooh MC Sophy kazidi sasa, kila siku haanzi na salamu, kuchamba tu! Weee! Aliyekwambia hii sehemu ya kuchamba...
READ MOREJENGA tabia ya kumshukuru Mungu kwa kila jambo katika maisha yako, liwe baya au jema. Wakati mwingine kuna mambo...
READ MORE