×

Tag: Maradona

Madaktari Wapandishwa Kizimbani Kujibu Shutuma za Kifo cha Maradona

JUMLA ya madaktari nane wanatarajiwa kupanda kizimbani kujibu tuhuma za kusababisha kifo cha gwiji wa soka duniani Diego Armando Maradona...

READ MORE

Jezi ya Maradona ya Bao la Mkono wa Mungu Yauzwa kwa Bilioni 17

JEZI ya nguli wa soka Duniani marehemu Diego Armando Maradona imeweka rekodi baada ya kuuzwa kwa kiasi cha Euro Milioni...

READ MORE

Muswada Picha ya Maradona Iwekwe Kwenye Noti

SENETA Norma Durango wa Argentina amewasilisha muswada katika Bunge la nchi hiyo akipendekeza picha ya lejendari wa soka duniani, Diego...

READ MORE

Aliyekuwa Daktari wa Maradona Achunguzwa

WAENDESHA mashitaka nchini Argentina wanamchunguza daktari wa  Diego Maradona, Leopoldo Luque, wakimshuku kwa kuua kufuatia kifo cha nyota huyo wa...

READ MORE

Fahamu Kuhusu Mazishi ya Diego Maradona

Vyanzo mbalimbali vya habari nchini Argentina vimeripoti kuwa Diego Maradona amezikwa mapema asubuhi ya Alhamisi na watu wachache ambao ni...

READ MORE

Diego Maradona: Mfalme wa Soka Aliyeangushwa na Madawa ya Kulevya, Pombe

Dunia imepata pigo, mbuyu mkubwa umeanguka katikati ya msitu na kusababisha miti mingine yote itingishike! Ulimwengu wa soka unazizima, wapenzi...

READ MORE

Maradona Azikwa Chini ya Ulinzi Mkali

  GWIJI wa soka wa Argentina, Diego Armando Maradona, aliyefariki dunia juzi Novemba 25, amezikwa na watu wachache, jana Alhamisi...

READ MORE

Mfahamu Gwiji wa Soka Diego Armando Maradona

MMOJA wa wachezaji maarufu nchini  Argentina ambao ilijivunia kipaji cha kipekee, madoido ya ajabu akiwa uwanjani, maono na kasi  yalivyovutia...

READ MORE

Kifo cha Maradona, Rais Atangaza Maombolezo Siku Tatu

RAIS wa Argentina, Alberto Fernandez ,ametangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kufuatia kifo cha gwiji wa soka wa nchi...

READ MORE

Dunia Yamlilia Maradona

GWIJI  wa zamani wa kandanda, Diego Maradona, amefariki dunia jana akiwa na umri wa miaka 60 kwao Argentina ambapo mapema...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra na Amani kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra  na Gazeti la Amani kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Breaking: Diego Maradona Afariki Dunia

MKONGWE wa soka raia wa Argentina, Diego Maradona amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 60 kwa mshtuko wa moyo,...

READ MORE

Pombe Zahatarisha Uhai wa Maradona

MCHEZAJI  mkongwe wa Argertina, Diego Maradona, ametolewa hospitali siku ya Jumatano, na kuelekea kliniki ya kurekebisha tabia ili kuacha kutegemea...

READ MORE

Maradona Afanyiwa Upasuaji wa Ubongo

  ALIYEKUWA mchawi wa soka wa Argentina, Diego Maradona, amefanyiwa upasuaji wa ubongo huko La Plata Buenos Aires ambapo kwa...

READ MORE

Maradona ajiuzulu ukocha, kesho yake arejea kazini

NGULI wa soka wa Argentina, Diego Maradona ameendelea sinema zake kwenye mchezo wa soka baada ya kujiuzulu kisha saa 48...

READ MORE

Okwi Kajiunga na Timu ya Gwiji Maradona

ALIYEKUWA mchezai wa Klabu ya Simba Sc ambaye pia ni mchezaji wa Timu ya Taifa ya Uganda, Emmanuel Okwi amejiunga...

READ MORE

MARADONA ATAKA KUMKATA KICHWA MPENZI WAKE!

BUENOS AIRES, Argentina: GWIJI wa soka nchini Argentina, Diego Maradona (58), kwa sasa yeye na mpenzi wake wa zamani ni paka na...

READ MORE

Maradona Kutoa Dola Mil 10 Atakayefanikisha Kumnasa Aliyemzushia Kifo

Nyota wa zamani wa timu ya taifa ya Argentina Diego Maradona ametangaza ofa ya dola 10,ooo za Marekani (sawa na...

READ MORE

Ramos Amponda Maradona, Amsifia Messi

  BEKI wa Hispania, Sergio Ramos amesema Diego Maradona ameachwa mbali kiuwezo uwanjani na Lionel Messi, pindi unapoamua kuwalinganisha nguli...

READ MORE

Hatimaye Maradona Ampokea Mwanae wa Nje ya Ndoa, Diego Junior

Mchezaji nguli wa soka wa Argentina, Diego Maradona hatimaye amemkubali mtoto wake Diego Junior aliyekuwa naye mwishoni mwa wiki iliyopita...

READ MORE