Hofu Yatanda Hospitali ya Majeruhi Kibiti
KIBITI: Hofu kubwa imetanda kwa wagonjwa na wauguzi wa Hospitali ya Mchukwi iliyopo Kijiji cha Songa, Kibiti mkoani Pwani, ambayo majeruhi wanaotokana na uhalifu unaoendelea katika maeneo ya Ikwiriri, Kibiti na Rufiji…
