Tangawizi, Iliki, Mdalasini kwa Kulinogesha Penzi Lako!
LEO kwenye safu hii ya watu wazima tutaona jinsi ya kumfanya mpenzi awe karibu yako kwa kutumia mzizi wa tangawizi, mdalasini na sukari.
Vitu unavyohitaji:
Maji ya rose
Vijiko 17 vya sukari
Kijiko 1 cha mzizi wa tangawizi…
