Watoto walemavu Arusha Wampa Mrisho Gambo Changamoto Zao
Hivi karibuni lilifanyika kongamano kubwa la watoto wenye ulemavu mkaoni Arusha ambalo lilihudhuriwa na watu mbalimbali na hivyo watoto hao kutumia fursa hiyo kumueleza Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo changamoto…
