Miaka 4 ya kifo cha Kanumba, hii ndiyo hali halisi
Staa wa filamu Bongo, Steven Charles Kanumba enzi za uhai wake.
Gladness Mallya
Hii ndiyo hali halisi! Ikiwa leo ni siku ya kumbukumbu ya kifo cha aliyekuwa staa wa filamu Bongo, Steven Charles Kanumba ambapo ametimiza miaka minne…
