Michelle Obama Kuwania Urais wa Marekani 2020?
MICHELLE ambaye ni mke wa rais wa zamani wa Marekani,Barack Obama, tetesi za yeye kuwania urais mwaka 2020 nchini humo zimeongezeka kutokana na ziara anayoifanya ya kusambaza kitabu chake cha ‘Becoming’ katika miji kumi…
