×

Tag: Michezo

Matola Kusajili Majembe Mapya 13

KOCHA mpya wa timu ya Polisi Tanzania, Seleman Matola kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu Bara amepanga kukitengeneza kikosi chake...

READ MORE

JPM Aanika Kinachoutesa Moyo Wake – Video

RAIS  John Magufuli ameeleza masikitiko yake kufuatia timu za soka za taifa ambazo ni timu ya wakubwa (Taifa Stars) na...

READ MORE

BETIKA LATUA MIKONONI MWA ZAHERA

WAKATI mamilioni ya wanamichezo wenye umri wa miaka 18 na zaidi wakiendelea kuingiza kipato kupitia michezo ya kubahatisha na kutabiri...

READ MORE

AZAM FC YATUA DAR KWA KISHINDO KUTOKA ZENJI

TIMU ya Azam FC imerejea jijini Dar es Salaam, mapema leo baada ya jana (Jumapili) kuibuka na ubingwa wa Mapinduzi...

READ MORE

Salah Atawazwa Mchezaji Bora wa Afrika wa Caf 2018

Mshambuliaji wa Misri na klabu ya Liverpool ya England, Mohamed Salah, ndiye Mchezaji Bora wa Mwaka wa Shirikisho la Soka...

READ MORE

WAZIRI MKUU AKIZINDUA UWANJA WA BASEBALL – VIDEO

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefungua kiwanja kipya cha Taifa cha mchezo wa Baseball na kuzindua mashindano ya Taifa ya Baseball...

READ MORE

Mastaa 5 Waliotwaa Taji la Ligi ya UEFA Wakiwa na Timu 2 au Zaidi

KILELE cha sifa katika soka la klabu barani Ulaya ni kushiriki na kutwaa taji la  Ligi ya Ubingwa ya UEFA...

READ MORE

Man U Yatayarisha Bn. 77 Kumchukua Pellegrine wa Roma

Manchester United ya Uingereza wanatayarisha kitita cha Pauni Bil. 26 kumchukua kiungo wa timu ya Roma ya Italia, Lorenzo Pellegrini,...

READ MORE

DIRISHA DOGO SIMBA MZIKI MNENE!

WAKATI usajili Umefunguliwa Novemba 15, mwaka huu, tayari Simba wameshajiweka mguu sawa kuhakikisha wanasajili majembe yanayoweza kuwasaidia kufanya vizuri kwenye michuano...

READ MORE

YANGA YASHUSHA MASHINE TATU MPYA

YANGA imempa ruhusa Kocha Mwinyi Zahera, kumalizana na mastaa watatu wa kigeni aliokuwa anawataka na wiki ijayo akisharudi Dar es...

READ MORE

KILA LA KHERI TAIFA STARS, WATANZANIA TUKO NYUMA YENU

TANZANIA leo Jumapili jioni itashuka uwanjani nchini Lesotho kutaka kuandika historia ambayo vijana wengi wa kizazi kipya hawakuwahi kuiona. Inacheza...

READ MORE

Mohamed Salah Achongewa Sanamu, Hafanani nayo, Inachekesha!

SANAMU za kuchekesha na zisizofanana na nyota wa soka ambazo zimekuwa zikichongwa, hivi karibuni zimefika kwa mwanasoka maarufu wa Misri,...

READ MORE

Wachezaji Leicester City Wawasili Thailand Kumzika Mmiliki wa Klabu

Wachezaji wa Leicester City wamewasili nchini Thailand kwa mazishi ya mmiliki wa klabu ambaye alifariki kwenye ajali ya helikopta. Jamie Vardy...

READ MORE

SIMBA KUWEKA HISTORIA UCHAGUZI WA VIONGOZI WAPYA LEO

WANACHAMA  wa klabu ya Simba wataweka historia leo (Jumapili) watakapoingia kwenye uchaguzi mkuu kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha...

READ MORE

Real Madrid Kumnunua Diaz wa Manchester City

KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola, amepinga tetesi kwamba amekuwa akimshawishi mshambuliaji wa Barcelona na Argentina, Lionel Messi, 31, kujiunga...

READ MORE

MATOKEO YA MICHEZO YA LIGI KUU TANZANIA BARA

Mchezo umemalizika kwa Azam Fc kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya JKT Tanzania. JKT Tanzania imepoteza mchezo wa...

READ MORE

Mazoezi Ya Simba Usipime, Yawekewa Ulinzi

BAADA ya Simba kubaki jijini Dar na kuweka kambi katika Hoteli ya Sea Scape iliyopo Mbezi Beach, jana Jumatano kikosi...

READ MORE

MFANYIKAZI WA HOTELI AJISHINDIA ‘MPUNGA’

Manford Mtwango mkazi wa Kitunda Dar es Salaam, alivutiwa na Mojaspesho tu baada ya kusikia matangazo akaamua na yeye ajiingize...

READ MORE

SERENA WILLIAMS KULIPA FAINI MIL. 8 KWA KUVUNJA SHERIA

NYOTA wa mchezo wa tenisi, Mmarekani, Serena Williams, amepigwa faini ya Dola 17,000 kwa kukiuka sheria za mchezo huo wakati wa...

READ MORE

MAMA: MSUVA SIO WA MCHEZO MCHEZO

SIMON Msuva ni kiungo mshambuliaji wa Difaâ Hassani El Jadidi ya Morocco, licha ya kuwa alionekana ni mchezaji wa kawaida...

READ MORE

RATIBA NA MATOKEO YA MECHI ZOTE KOMBE LA DUNIA HADI FAINALI

HAPA nimekuwekea ratiba ya mechi zote za michuanpo ya Fainali za Kombe la Dunia 2018 zizakazopigwa nchini Urusi, kuanzia mechi...

READ MORE

WAZIRI MWAKYEMBE AFANYA UTEUZI

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amemteua Mhandisi Dkt. Richard Joseph kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya...

READ MORE

SPOTI HAUSI: Hata Yanga Wakifungwa 10-0, Watabaki Kwenye Michuano ya CAF

  KATIKA kipindi cha Spoti Hausi leo Alhamisi, Machi 1, 2018 kupitia Global TV Online tunakuletea uchambuzi wa nini Yanga...

READ MORE

KIMENUKA! Mashabiki Wavamia Uwanja Kisa Penati – Video

MASHABIKI wa Klabu ya Mangolo hivi karibuni walikinukisha na kuvamia uwanjani wakati wa mechi yao dhidi ya Chasimba FC maeneo...

READ MORE

INAUMA SANA: Zanzibar Heroes Wamwaga Machozi Hadharani – (Video)

NDOTO ya timu ya taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes kutwaa ubingwa wa Kombe la Chalenji iliota mabawa jana Jumapili baada...

READ MORE

Zanzibar Yaichapa Uganda, Yatinga Fainali CECAFA

TIMU ya Taifa ya Zanzibar ‘Zanzzibar Heroes’ imefanikiwa kutinga Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na CECAFA Challenge...

READ MORE

Gazeti Jipya la Michezo, ‘Spoti Xtra’ Lazinduliwa Dar, Mtaani Kila Jumapili- (Video)

KAMPUNI ya Global Publishers Ltd wachapishaji wa magazeti ya Amani, Ijumaa, Uwazi, Risasi na Championi imezindua Gazeti  Jipya na Bora...

READ MORE

Spoti Hausi LIVE: Safari ya Gazeti la Championi Nchini Uingereza

#SpotiHausi ni kipindi cha #Michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni. Mwandishi mahiri wa Gazeti la Championi, Saleh...

READ MORE

LIVE: Msikie Baba Mzazi wa Msuva Akifunguka Alivyompigania Mwanaye

GLOBAL TV Online, Kupitia kipindi chake cha Michezo, SPOTI HAUSI, kimeongea EXCLUSIVELY na Baba Mzazi wa aliyekuwa mchezaji wa Timu...

READ MORE

Spoti Hausi: Kutana na Baba Mzazi wa Simon Msuva Leo Saa 10:00 Jioni

#SpotiHausi ni kipindi cha #michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni Ni hapahapa #GlobalTVOnline Fanya kuingia hapa www.youtube.com/user/uwazi1...

READ MORE

Sikukuu ya Eid Mosi: Watoto Wajiachia Ndani ya Dar Live (Pichaz)

Watoto wakijiachia kwenye bembea la kuseleleka Shoo ya kihistoria itakayofanyika katika siku hii ya Idd Mosi pale watakapovamia jukwaa moja...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu June 19, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Juni 19, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Serengeti Boys Yaondolewa Kwenye Michuano ya AFCON U-17

Timu ya Taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys imetolewa katika michuano ya vijana chini ya...

READ MORE

GABONI: CAF Wamfanyia Vipimo Serengeti Boy Aliyeichapa Angola Iwapo Anatumia Dawa

GABON: Winga teleza wa Serengeti Boys, Abdul Suleiman aliyeibuka mchezaji bora wa mechi ya Serengeti Boys na Angola hapo jana,...

READ MORE

Yanga Yaipiga Kagera Sugar bao 2-1 Uwanja wa Taifa

Mchezo umemalizika DK 90 Yanga wanaondoka kifua mbele… Dk 3 zimeongezwa kabla mchezo kumalizika Dk 87, Mbaraka Yusuf wa kagera...

READ MORE

Kutana na Kijana Anayetafuna Chupa na Misumari

KIJANA mmoja aliyejitambulisha kwa jina la James John mkazi wa Mchikichini jijini Dar es Salaam ameonakana kuwashangaza watu wengi wa...

READ MORE

UEFA: Real Madrid Waigonga Bayern Munich 4-2, Ronaldo ni ‘Sumu’

Cristiano Ronaldo alifunga mabao matatu na kuwawezesha mabingwa watetezi wa Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya Real Madrid kuwatimua Bayern Munich...

READ MORE