Silvia Alivyotwaa Taji la Miss Tanzania 2019
Mrembo Silvia Sebastian mkazi wa Buhongwa Mwanza ambaye pia alitwaa taji la Miss Mwanza na Miss Lake Zone mwaka huu usiku wa kuamkia leo ametwaa taji la Miss Tanzania katika kinyang’anyiro kilichowashirikisha warembo ishirini kutoka…
