Rapa Diddy Apata Msiba Mzito, Mastaa Marekani Wampa Pole!
Rapa Sean Diddy Combs amepata msiba wa aliyekuwa mama wa watoto wake watatu, 'Kim Porter' ambaye ameaga dunia jana Alhamisi, Novemba 15, 2018 akiwa na umri wa miaka 47.
Mtu wa karibu familia amethibitisha kifo hicho kupitia…
