Masalia Mapya ya Mijusi Mikubwa Yagundulika Lindi
WATAFITI Watafiti kutoka Makumbusho ya Taifa, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam pamoja na wa nchini Ujerumani, wamegundua masalia mapya ya Mijusi mikubwa aina ya Dinosaria walioishi miaka milioni 150 liyopita huko Lindi maeneo ya Tendaguru.…
