MALARIA YAPUNGUA KWA ASILIMIA 7. 3 NCHINI
MAAMBUKIZI ya viashiria vya ugonjwa wa Malaria Nchini Tanzania yamepungua kwa Watoto chini ya miaka mitano kutoka asilimia 14.4 mwaka 2015 na kufikia asilimia 7.3 kwa Mwaka 2017 hii ni kuzigatia harakati zinazofanywa na Wizara ya…
